takajua

shikamoo

  • Nyumbani
  • Tazama
  • Tuwasiliane
mbwa hodari

HATUA ya mbwa na kiatu kufunga goli

Januari 19, 2021 tekepunda 0

Hakuelewa jinsi gani watu wanakimbizana na kung’ang’nia ngozi na hatimaye kutoa hadi machozi kwa furaha na wengine kwa machungu. Hili ndilo kitendawili kilichokuwa bila jibu […]

mbuzi na mzigo

AAPISHWA mbuzi baada ya punda kutoweka

Januari 12, 2021 tekepunda 2

Rafiki punda alipokosa kuonekana juma moja wenzake walifikiri kuwa ameona malisho bora zaidi. Baadaye walipata habari kuwa kuna mnyama amepatikana bila vazi alilozaliwa nayo. Walishangaa […]

tumbili wengi

HALI ya kawaida inarejea baada ya sungura kutoweka

Januari 5, 2021 tekepunda 3

Agizo la kukaa mbali na matunda la kutaka wanyama wote wasile au kuonja yanayotoka bustani ya umma ndio taarifa iliyokuwa ikizungumziwa sana. Tembo alionyesha kufurahishwa […]

ndege matunda

ALIPIGA filimbi kwanza baadaye kukamatwa kwa kosa

Disemba 29, 2020 tekepunda 4

Alipoulizwa kwa nini hamshtaki mende na ili kulinda heshima yake ndege akasema kuwa ameshawaita ndugu zake akiwamo baba yake mzazi, lakini nao wakaonekana kutomwelewa. Visa […]

nguruwe malishoni

UTATA baada ya matunda kubadilika sura mchana

Disemba 22, 2020 tekepunda 2

Viwavi walilalamika kupoteza makazi kutokana na hali mbaya ya kutoaminiana.

Urambazaji wa machapisho

1 2 … 25 »
Haki Zote Zimehifadhiwa © 2020, Takajua Multimedia

Haki zote zimehifadhiwa © 2021 | porojo tupu takajua.com