Akili nyingi ni… maarifa bado

krismasi na mbuzi

Waziri alifika na kusema ,’Hii ndio matokeo ya mtihani wenu na kusema kweli wengi wamenguka’.Kiatu na Boflo walishangazwa

na huo ujumbe.

Hawakudhania kuwa Jim wa Mattis amejiuzulu. Haya maneno yalikuwa kama muziki kwa Rasto ambaye alikuwa

anachana nywele.

Tekepunda alikuwa akifuata Muorinho kwenye mtandao. Mashabiki wake waligawanyika wasijue la kufanya.

Inasemekana kuwa risasi solskjaer ndiye atakaye chukua nafasi yake baada ya kubanduliwa kwake.

‘Eti wanamtarajia Joseph Kabila aondoke madarakani?’, Rasto akauliza akiwa bado kwa bafu.

‘Uchaguzi umehairishwa.’ , Kiatu akajibu.

‘Machameni.’ ,Tekepunda akasema.

‘Nini tena?’, Rasto akauliza.

‘Wamechokora mashine za kupiga kura.’, Boflo akaongeza kwa sauti.