Chui mkubwa aliweka chumvi kwa nyama

chui mla chumvi

‘Jamani, chui, usiniue sasa hivi,’ akasema panya. ‘Nina kazi kijijini ambaye inaningojea. Nimeshinda siku nzima nikitafuta chakula na nitahitaji kitu cha kula jioni. Tafadhali niruhusu kurudi nyumbani nimalize kazi yangu usiku wa leo, na mara nitakapomaliza, naahidi kwamba nitarudi kwako. Halafu tutagawa faida. ‘

Chui alikuwa amemrukia na kumkamata panya. Alikuwa karibu kumuangamiza kwa kutia meno yake makali ndani yake , ndiposa panya akaongea.

Chui alikuwa mwenye kiburi na mambo mengi, alikuwa anajivunia utajiri wake na afya yake. Hakupenda kuwinda na walaji nyama wengine kama yeye. ‘Wao ni wachafu na wananuka kama gunia,’ angesema mbele zao, akikunja pua lake kwa machukizo. Hakuruhusu yeyote kati yao amkaribie.

kila mtu anapaswa kupunguza mawasiliano ya karibu na watu nje

Asubuhi moja, baada ya kuandaa chakula chake, akasimama nje ya mlango akitafuta chumvi yake. Mwishowe akaona mlangoni paka akibeba gunia ya chumvi akiongozwa na panya wakielekea kwa tundu lililokuwa kwenye ukuta. Wakati wanyama wengine wa kijiji walipoona wizi wa chumvi waliogopa sana hivi kwamba wakajifungia kwenye nyumba zao.

Hawakufikiria wataona chui akila nyama bila kuweka chumvi. Paka alipogundua kwamba ameonekana akibeba chumvi alikimbia na kumuacha mwenzake panya. Panya masikini alikuwa na mzigo mkubwa wa chumvi; hakuwa na nguvu ya kuinuka na kukimbia, na kulikuwa na chui aliyemrukia juu yake.

Chui alikaa chini kwa mshangao. Chui hajawahi kupata mnyama kama panya. Alikuwa amewaua wanyama wengi katika maisha yake marefu, na mara nyingi wengi wao walikuwa wamemsihi asiwale , hakuna moja aliyewahi kuahidi kurudi! ‘Je! Unanichukua kama mjinga?’ Aliruka kwa hasira. ‘Nikikuachilia, hautarudi kamwe! Hapana, nitakuua na kukula sasa hivi. ‘

‘Chui nakuomba kwa neema hii sio kwangu, lakini kwa kazi ambao wengi wananitegemea. Wadau wengine wanajiuliza sasa hivi kama watapata chumvi. Acha nirudi , niwajulishe mara ya mwisho na ninaahidi kuwa nitarudi, ‘akasema panya.

‘Biashara ya chumvi imekuwa ikiendelea. Si panya peke yake kuna washika dau pia, ndio sababu chumvi yangu imekuwa ikipotea.’, chui kawaza. ‘Haya basi nielekeze kwa washika dau!’, chui akasema kama kubadili nia yake.

‘Haya basi niachilie niweze kukuonyesha.’, panya akajibu. Chui akamwachilia panya na mara moja bila kusita panya akapita kati ya miguu ya chui na kutoroka.

Wazo 5

 1. Now from the comfort of your home you can view us virtually. Join us in our classes as we move to the next base in our humble lives http://learn.edx.org/partner-harvard/?msclkid=b9bed39b172215f000958d0f20a99cb4&utm_source=bing&utm_medium=cpc&utm_campaign=bs-us-nonbrand-partner-harvard&utm_term=harvard%20university%20distance%20learning%20courses&utm_content=name_b
  A lot of events happening around in tech and online but how do you fare globally? Have you progressed – keep in mind that some bloggers recently closed shop and announced cuts in posts who were women. I feel it will add a new dimension and flatten the curve. https://www.fiphysician.com/flatten-the-curve/ Let me know your thought?

 2. Sasa hivi ndio msimu wa kubofya na kubonyeza https://neilpatel.com/blog/click-here-16-hacks-thatll-get-your-call-to-action-buttons-clicked/ na pamoja na kuweka kwa mtandao wa kijamii , moja ya vitu muhimu ambavyo wanateknolojia wa kisasa lazima wawe smart na hashtag.

  Siku hizi, hashtag za kipekee https://mashable.com/2013/10/08/what-is-hashtag/ huruhusu mafans wako kushirikiana na kushiriki kwa urahisi kumbukumbu zao wanazopenda kwenye media za kijamii. Ni kama kanda za vidoe za kuchangamsha au kuburudisha , ambayo unaweza kupata wakati wowote, mahali popote na unganisho la mtandao.

  Kama mtalaamu, naweza kusaidia kufika kilele mapema lakini najiuliza, “Ni kampeni yafaa katika siasa kama hii” Jiunge nami katika mtandao https://sproutsocial.com/insights/twitter-hashtags/

 3. It’s always interesting somewhere, right? SEO expert trainers will transform your website to a truly 2020 compliant page — no making money from the you or making incomplete work , just call us and we will come to you.

 4. are you ready and willing to do all that in one story? we can bring change in your site and attract fans to you to help with distribution of hand sanitizer. I look forward to partnering with your team to make deontay wilder possible. Even in the face of staggering job losses the market thinkers and the medics could still come up with a solution. Mike Tyson had say in the weather.

 5. am all aware that looks are important hence the reason your fans will say that you will be quoted and then you will go viral. It is difficult to ignore one’s post, especially when you are sharing with them. With the busy schedules and activities, you might want to take time to prepare or script your content before posting , and that’s where virals like dance monkey and SEO experts like us come in handy. With that said, there are several, routines and content writing courses that will make you exactly what the fans want to read. Read more: https://metro.co.uk/2019/12/13/sings-dance-monkey-lyrics-many-weeks-number-one-11902960/

Maoni yamesimamishwa.