HEWA Safi kutoweka baada ya kiatu kutoboka

kiatu kubwa
kiatu kubwa

Kiatu na mguu walionekana kama marafiki wa kweli. Walionekana pamoja kila wakati . Hawakuwahi kutengana hata siku moja, iwe ni usiku au mchana.

Tunatakiwa kutengana lakini tutaendelea na sherehe.

Siku moja Kiatu akamwambia mguu mmoja, “Mpendwa rafiki yangu, kesho nataka kwenda mbali. Sijui kama utaweza kufika bila kupumzika. Tumekuwa pamoja kwa muda mrefu.”. ” Hamna tatizo lakini itabidi nipate usaidizi kutoka kwa mkono.” , mguu akamjibu.

Usaidizi utapata hapa

Siku iliyofuata mkono akajitokeza kusaidia mguu kuondoka bila kiatu. Wengi walijitokeza kushuhudia tukio hili kwani mguu na kiatu hawajawahi kutengana. Mkono alijaribu kuwatenganisha lakini hakufaulu. Alishindwa kulegeza kamba za kiatu ili mguu aweze kujitenga na kiatu. Hatimaye mguu akaamua kuenda na kiatu safarini. Hii ni baada ya bei ya mafuta kushuka kupindukia.

Hewa safi alipogundua kuwa kiatu anataka kuondoka bila mguu akapanga kuwaleta pamoja. Jioni baada ya safari wakati kiatu alitaka kujiondoa hewa safi akawasihi waendelee kuishi pamoja. Mguu alikuwa na machungu kutokana na kiatu kutolegeza msimamo wake. Mguu hakutaka uhusiano na kiatu. Wengi wameboresha uhusiano wao na Zoom na Netflix.

Hatimaye kiatu na mguu walitengana na mara hiyo hiyo hali ya hewa ikabadilika. Hewa safi alitoweka. Haijulikani kule Kim Jong Un amejificha.

Wazo 10

 1. takajua suala zima lipo kwenye akili tizama https://money.com/who-gets-stimulus-checks-first/ kama ulivyoandika hapo awali – kujiweka katika hali ya kuona kuwa tendo ni la kawaida. Naunganisha hilo na chapisho http://takajua.com/2020/04/14/sasa-sungura-anatazama-chakula-katika-mtandao/
  ”Sungura ndani ya mtandao” na tekepunda.
  Nasema hivyo kwa sababu mara nyingi kwa nikisoma nacheka kutokana na vituko http://takajua.com/2020/02/18/diamond-princess-kupata-matibabu-kutoka-tumbili/.

  Nikimalizia yeye bila kula ugali itakuwaje. https://www.marketwatch.com/story/debt-collectors-are-going-after-millions-of-stimulus-checks-5-ways-to-stop-them-2020-04-14
  http://takajua.com/2019/04/02/ugali-bila-sufuria/

 2. Vipi kwenye hapo kwenye bustani, umenikumbusha hoja muflisi iliopo mitaani kuhusu ucheshi na umakini wakimaanisha kwamba kadiri mkono anavyotumika anapata uzoefu na ujuzi zaidi na anaweza kufanya mengi…. unaizungumziaje hio hoja kwa msaada zaidi kwa mafans wako?

 3. Unalizungumziaje swala la kutumia video kama channel, ambapo ukitwanga makala moja safi na muhimu wakat huu wa mageuzi, ni vigumu kutofautisha mbinu tofauti tofauti za kuchapisha makala yako – kiubunifu na kiteknolojia, hasa ukizingitia ukweli kwamba kila mwanabloga, sera na itikadi zinazotumiwa au kutekelezwa ni za kiliberali, huku wateja wengi (hasa vijijini) wakiwa hawana ufahamu juu ya umuhimu wa mtandao wa kijamii.

 4. Mimi nataka kujua ni vipi naweza kuwa na blogi kama yako? mmejaza mastory ya kusisimua na kuchekesha hadi kwa matumbo wakati wengine hawana namna ya kucheza mtandaoni. Mimi nitawahama mda si mrefu

Maoni yamesimamishwa.