Tembo anatunga wimbo wa kileo

ndovu wamelewa
ndovu wamelewa

Nani ako na masikio kama yangu?

Masikio inayoweza kusababisha bendera kupeperusha.

Nani ako na pua kama yangu?

Pua linaloweza kuninyunyizia maji.

Nani ako na miguu kama yangu.

Miguu ambayo yamenipeleka kila kona ya msitu.

Nani ako na mdomo kama wangu?

Mdomo unaoweza kusiaga na kumeza miba.

Kunaye anaye fanana na mimi?

Wazo 5

  1. I am a happy person, and I make a honest effort to see laughing points of view. I am also great and fantastic at making people laugh and not to defy social distancing guidelines and also wear masks.

    The more we have fun while socially distance and use masks to help slow down the spread crazy jokes the quicker ribs crack open and the quicker the the air to breathe can get in track to recovery.

    Social distancing and wearing a mask covers the teeth, which is necessary for the spread of jokes and it is such a simple thing to do. It is hilarious when I see people flaunting the guidelines because they believe in jokes, or want to make others happy.

  2. stori lako hili .. ndovu kapewa kileo na kurudisha nyuma hali ya anga, alafu wanyama wengine ni wadogo sana kama kwamba tu watu wengine wanaruhusiwa kuweka mizigo yao pale hata pa kupita na hakuna njia na kingine ni wanyama wangapi wenye tabia kama hio.

Maoni yamesimamishwa.