AAPISHWA mbuzi baada ya punda kutoweka

mbuzi na mzigo
mbuzi na mzigo

Rafiki punda alipokosa kuonekana juma moja wenzake walifikiri kuwa ameona malisho bora zaidi. Baadaye walipata habari kuwa kuna mnyama amepatikana bila vazi alilozaliwa nayo.

Walishangaa walipotambua rafiki punda bila ngozi yake asili. Punda ambaye hapo awali alikuwa wa kubebea mizigo kabla ya kubadili matumizi yake inasemekana kuwa ngozi yake imekuwa dawa ya mapenzi.

Hii ilikuwa siri kubwa kati ya wamiliki punda kwa kuwa hakuna aliyetaka kusema ukweli. Hata hivyo haijabainika vile hii dawa iligundulika kwa punda.

Wanyama wengi wanaanza kupotea kabisa hii dunia. Kati ya wanyama hawa ni punda. Haijulikani vipi pengo aliloacha punda litajazwa.

Wanyama waliahidiwa nyasi kando ya barabara na mabaki kutoka hoteli mbalmbali. Hata hivyo wengi walikataa kazi ya punda kutokana na ukosefu wa pumzi na viboko bila ruhusa.

Wenzake punda waliamini kuwa viboko ndizo zilisababisha ngozi ya punda kugeuka na kuwa dawa ya mapenzi. Wazo hili halikumzuia mbuzi kujitetea na kuchukua nafasi ya punda. Waliokosa kutimiza masharti ya kazi ya punda ni ndovu kwa sababu ya hasira, simba kwa sababu ya meno na makucha makali na mzee kobe kwa sababu zisizojulikana.

Wazo 2

 1. Reading, this, I am laughing more than I have ever been before as how much donkey behaves. You have a follower now keep on.
  Those who say its dope don’t chase em .You need them. You require followers to fall on their knees from their seats and from all corners of the globe but give us more to chew.
  You have something but its kind of short to feel your love.

 2. Moving from one story in the digital world to another, is great adventure. If you had a solid story majority of us would follow you without any discrimination. Take a look at panzoid.com, where ostensibly stuff is created and is the basis for crowding since everyone wants a piece of the pie, (barring consideration of the bitcoin population which is a separate currency).

  When the polls arrived vaccinations immediately arose. Why? Tax relief requires linksin its growth and progress charts in order to ‘activate’ death rows . You have to look at the supporters that live under. It is a snowstorm that benefits many having to impeach the black box with reputed “defects”.

  Final days that allow the categories of content to fill within a SEO framework where such “clickbaits”are used to lower the value of the page.

  I have tried to make this point numerous times in these comments zone but for a few, it falls on ‘deaf ears’. But if your mind is open to examine the web site promoted as a success, you’ll receive a BONUS!

Maoni yamesimamishwa.