KUNGURU apoteza sauti akimwimbia mbweha na kumshangilia

mganga mbweha
mganga mbweha

Mtaalamu bingwa wa matumizi ya mboga ya majani katikati ya mimea, mganga mbweha masikio kubwa, alikanusha taarifa zilizodai alisababisha kunguru kupoteza sauti baada ya kupokea sifa zake hivyo kujitenga kwa kukaa ndani.

Akiwasilisha maoni ya viwavi jeshi msemaji  wa wala mbegu na majani, kapteni kasuku alisema mbweha mjanja ndio amekuwa akiwapotosha na sifa za bure wakiwa na chakula mdomoni kama vile mfupa na nyama wakiwa juu ya mti wakijiandaa kushiba.

Akijibu shutuma hizo, mganga mbweha masikio kubwa alisema si kweli na kusema kunguru alipoteza fahamu kutokana na makali ya jua, tofauti na vile wengine walivyokuwa wakimfikiria.

Akisisitiza kuwa hali hiyo ya kuchomeka na jua inadhuru mwili, alikiri hakuna namna ya kuwakinga kutosikia sifa zake na kama wanampenda hivyo.

Wakati huo huo, imeripotiwa kuwa tiba yake ya sauti bora imerudia kupasua dirisha kubwa la ofisi yake kando na mlango.

Alisema kuna ushahidi wa kutosha kuwa ndege wengi wanapoteza sauti kutokana na miale ya jua wanaposifiwa, hivyo inatosha kusema lawama ya kumfanya yeye na makosa imeshindwa.

Wazo 1

Maoni yamesimamishwa.