WADUDU watamu wapatia mbuzi mabawa

mbuzi na mabawa
mbuzi na mabawa

Mbuzi wanaendelea kushikilia msimamo wao kuhusu madai kwamba simba wanahusika na ukeketaji na uharibifu wa mimea na miti ndani ya bustani.

Aidha, ripoti imeonya kuwa simba, mbweha, chui na fisi huenda wakakabiliwa na vikwazo zaidi kwa kufanya operesheni ya kuangamiza misitu ingawa hawana haja, kwa kushiriki kwenye mizozo ya ng’ombe na mbuzi ndani ya vichaka.

Matokeo hayo yalitangazwa awali na tembo akifanya uchunguzi wa mimea , akisema simba anahusika katika operesheni ya kuangamiza miti na mimea ya msitu.

Wanyama katika msitu walikuwa wamegawanyika kuhusu muswada wa sheria utakaoimarisha misitu kwa kulinda miti inayohitajika kutunza vyanzo vya maji. Mojawapo ya kabadili tabia nchi ni kubadili mtindo wa ulaji majani na matawi  kwa kula wadudu.

“Wadudu sio hatari kula hawana miba kama mimea ingine mnayokula. Ni lisho bora kwa sababu ina protini nyingi na utaweza kupepea angani ukila kwa wingi.”

Mbuzi aliposikia hivo, akakohoa na majani aliyokuwa akitafuna akatema na kukimbia kwenye wadudu waliokuwa kando. Baada ya kupambana nao akitumia kwato zake akafungua mdomo na kumeza wale wadudu.

Hata hivyo simba, chui na fisi hawakufurahishwa na sheria ya uimarishaji wa misitu. “Nani anaweza kula mbuzi mla wadudu?”, akauliza chui.

‘Tutaendelea kuharibu misitu kwa sababu hawakuzingatia mahitaji yetu.”, akasema simba.

Wazo 2

  1. It’s amazing that the goats in this story had seen this coming way before time, warned the other animals and attempted to design some legislation to stop it. The main purpose of the forest was checking whois coming in and bidding them farewell (which is silly if you are a tourist) and to prevent exactly what is going on right now.

Maoni yamesimamishwa.