REKODI ya mbio yavunjwa na gari moshi porini

gari moshi porini
gari moshi porini

Wanyama walianza mbio wasijue pakuenda. Wengine walianza upande wa mashariki wakielekea magharibi. Wengine walimaliza kaskazini.

Miti ilikatwa misitu ikateketezwa wanyama wakakimbia. Nini kilikuwa kinaendelea? Binadamu anasafiri kwa kutumia bongo.

Aliwacha kutumia miguu yake. Hapo mbeleni alikuwa akitumia farasi. Wakati farasi kapungukiwa na kasi akapata maarifa ya kutengeneza injini.

Lakini gari si wa kuruka mashimo kama miguu ya farasi. Miguu yake ni duara na lazima awekewe barabara maalum ya safari la sivyo atakwama.

Binadamu ameongeza uzani wake kutokana na matumizi yake ya viti vya kukalia.

Wazo 1

  1. Toleo safi ya mazingira yetu katika hii dunia kamili ambayo nimeona bado inahusiana na hali hii mbaya. Hata mbele ya kutofaulu dhahiri, jaribio la kusaidia “wanyama wote” na kuifanya iwe sawa na sio mbaya sana.

    Kwa mtu aliyesema haya, na wale wanaokubaliana nao – “kujaribu” hawakuwa na / hawana nafasi hapa. Tulihitaji 1) maarifa mazuri, 2) stadi za kufikiria, 3) washauri wenye uwezo na 4) kusadikika kufanya jambo sahihi – hata kama msingi utalalamika – kuwa ujuzi uliowekwa.

    Kwa kweli hatuna hata moja ya maadili hiyo, kwa hivyo kukosekana kabisa huko kumeibuka. viongozi wa mataifa wamegundua kuwa hii ni ngumu sana kuliko vile wanavyofikiri na hata kufikia watamu. Wanaweza kukimbilia angani kwa roketi wakikosa njia, lakini mwishowe hakuna mahali pa kujificha.

Maoni yamesimamishwa.