BILA miguu ndivyo chatu mwona mbali alivyoingia sokoni

vurugu sokoni na chatu

‘Aliingia vipi ndani ya soko?’, punda masikio kubwa akauliza.

‘Wewe unashangazwa na vile chatu alivyoingia sokoni. Hebu jiulize vile alivyokagua bidhaa kabla ya kununua?’, panya mla mkate akachangia gumzo.

‘Nyinyi mmepitwa na wakati. Hamjasikia kuhusu soko ya mtandao?’, paka akawaeleza akipapasa masharubu yake.

‘Tueleze hiyo soko iko wapi.’, punda masikio kubwa akarudisha.

‘Namuunga mkono punda, kwanza wacha kupapasa masharubu.’, panya mpenda mkate akaongeza.

Paka akainua mkia wake na kuitazama kama kungojea jibu na kusema,’Huhitaji kuondoka mahali ulipo. Kazi yako ni kubonyeza tu.’

‘Tangu nizaliwe nimebonyeza mara mingi sana maishani mwangu na sijawahi kuingia ndani ya soko.’, punda mwenye masikio makubwa akasema.

Kutafuta bidhaa na huduma mtandaoni kunaweza kuokoa muda na jasho kwa kukuruhusu kupata bei bora bila kulazimika kufanya kazi yote ya mguu. Unaweza kutumia mtandao kupata wauzaji wapya, kutuma maombi ya kununua au kutafuta kwa bidhaa na huduma.’, paka akasema akiunyorosha mkia wake.

‘Hata hivyo chatu mwona mbali alilipia vipi bidhaa alizotaka?’, panya mpenda mkate akauliza.

‘Alibonyeza na bidhaa zake zikaingia ndani ya kikapu.’, paka akajibu.

‘Kikapu ni bure au unanua kabla kuingia ndani ya soko?’, punda mwenye masikio kubwa akauliza.

‘Ukipewa kikapu ndani ya soko uweke bidhaa zako, utakataa?’, ,paka akauliza.   

‘Kweli chatu mwona mbali alifaidika kwa vile hangeweza kubeba bidhaa alizohitaji.’,punda mwenye masikio kubwa akasema.

‘Chatu mwona mbali hana kibeti cha kuweka fedha. Alilipia bidhaa zake vipi au alitumia vitisho kukwepa kulipa chochote?’, panya mpenda mkate akauliza.

‘Chatu mwona mbali aliendelea kubonyeza na mwishowe bidhaa zilifikishwa pangoni mwake.’, paka akawajibu.

Hata hivyo chatu alionekana ndani ya soko na kubabaisha wanunuzi wengine.

Wazo 4 kuhusu “BILA miguu ndivyo chatu mwona mbali alivyoingia sokoni

 1. Ununuzi katika soko mtandaoni bila kuwacha starehe ya kivuli mtini ndio maisha bora! Siku zimepita ambapo unapaswa kusubiri kwa makini ukitazama au kusaka na kupigania maji au majani hivi karibuni (kwa shukrani). Sasa, kwa mibofyo michache tu, unaweza kupata burudani tosha mtandaoni.

  Kufunga kamba bomani imepitwa na wakati, lakini inaweza kuwa hatari kwa bajeti yako ikiwa haujali. Zaidi juu ya hayo baadaye, lakini kwanza hebu tupitie jinsi unaweza kupata lishe zaidi kwa mapato yako na vidokezo hivi vitatu vya ununuzi rahisi.

  Kwa sababu ya kiasi kikubwa cha ujumbe unaopatikana kwenye soko mtandaoni kazi inakuwa ngumu sana kupata kile kinachofaa kwako. Ni muhimu sana upunguze mzigo wa maneno mengi ya utafutaji wakati mwingine ili uweze kupata kile kinachofaa upesi zaidi.

  Ifanye iwe sera ya lazima kununua chochote mtandaoni bila kupata kwanza nambari ya kutumia. ziko nje! Fanya utaftaji upesi upesi na Google, chagua kikapu za kuweka bidhaa zako, au jaribu tovuti zinazokusanya habari za ndege wakati wa hatari.

  Ukiwa na dakika chache tu za kujiweka sokoni kabla ya stima kupotea, unaweza kupata ofa bora sokoni ambazo zinaweza kuokoa punguzo la mzigo wako mzito. Jitihada zako ndogo zinaweza kusababisha akiba kubwa!

  Fast search here in this decoration

 2. Bado ninafurahia ununuzi ndani ya soko, haswa uzoefu wa kuona bidhaa mpya na kujaribu vitu tofauti. Lakini kusema kweli, afya ndio inakuja kwanza kwa hivyo nimebadilika na sasa fanya ununuzi wangu mara moja kwa mwezi.
  Hapa mtandaoni, napata matangazo kila dakika, kulingana na shughuli zangu katika mtandao wa kijamii, kwa hivyo ninajumuisha faida za maduka ya mitandao kwa kuweka punguzo kwa kubonyeza.

  Tufike hapa leo tuelewe tabianchi

 3. Je! Ni vitu gani muhimu kukumbuka ukienda sokoni kwenye mtandao? Endelea kusoma hapa kuna maoni kadhaa:

  kwanza elewa kubonyeza na kufungua kurasa.
  Pili jua kutazama ubora wa picha au maelezo yaliyopambwa.
  Tatu soma kwa ustadi maelekezo ya utunzaji wa bidhaa.
  NnE kagua bei, faida, na hasara wa kibeti chako ndani na nje ya mtandao.
  Tano hesabu bidhaa ulizonunua – kupima zaidi; muda zaidi ulitumika kuujenga.
  Ikiwa ni halali, tia ndani ya kikapu, changanya kila kitu, kikapu hakina sakafu.

 4. Hands down my favorite story and the most interesting animal website for a blog, your digital animals and their friends have been a growing trend on climate change for a while now, but to be seen gaining MASSIVE traction over time as an artist realize the ease and growth potential that comes from creating and selling products digitally on a larger scale (create a product ONCE and sell it over and over again?! I mean, sign me up!). we are here

Gumzo imefika mwisho