jogoo na panzi

Hapo zamani za kale

Agosti 31, 2018 msumeno 0

Mende akamwambia mwenzake kipepeo ,’Tufanyeje?’ ‘Kwa nini?’, akauliza kipepeo. ‘Wewe huoni? Jogoo wanapigana!.’, akasema huku akielekeza kidole kwenye jogoo hao wawili ambao walikuwa wakipigana. ‘Wewe […]

Uongo kwa sauti kubwa

Agosti 7, 2018 msumeno 0

Itakuwaje kama kila mmoja atatangaza mambo yake hadharani?Kama wote wapo kwenye nyumba moja hakutakalika. Serikali ni moja. Hata kwa bongo serikali ni hiyo moja. ‘Tuseme […]

No Picture

Zua Rabsha

Julai 13, 2018 msumeno 0

Kulikuwa na punda wawili , mmoja mnene na mwingine mwembamba kiasi. Wote walikuwa wakila nyasi katika eneo mmoja. Yule mnene alipoishiwa na nyasi akaenda kunyemelea […]

Tembea

Julai 2, 2018 msumeno 0

Bwana Ofisaa alipigwa butwaa alipogundua kwamba kijisanduku cha pesa kilikuwa kimefichwa chini ya meza yake.

Maendeleo bora

Juni 22, 2018 msumeno 0

Hakuna mnyama anayekaribia binadamu kimaumbile kama vile nyani. Nyani ako na vidole kama binadamu, ako na sura kama binadamu na vilevile  ako na hisia na […]