
NG’OMBE apatikana na mkate moto ndani ya boma yake
Ilikuwa inanukia ajabu hadi ikavutia twiga mrefu kuchungulia ndani ya boma ya ng’ombe lakini kwa vile hakuwa amevaa miwani yake hakuona kilichokuwa kinatupa ile harufu. […]
Ilikuwa inanukia ajabu hadi ikavutia twiga mrefu kuchungulia ndani ya boma ya ng’ombe lakini kwa vile hakuwa amevaa miwani yake hakuona kilichokuwa kinatupa ile harufu. […]
Kulikuwa na chui hodari sana ambaye alitamani kuwa na nguruwe. Siku zote alikuwa akimwazia katika ndoto zake, na hata alifanya michoro yake. Chui aliwahi kuwa […]
Baada ya panya kumuokoa simba alijipa shughuli ya kusaidia wengine kwa umahiri wake. Panya huyu maarufu anayeitwa Magawa ndiye panya wa kwanza kupokea tuzo hiyo […]
Kila mmoja alikuwa na kompyuta. Wengine walikuwa wakibofya na wengine walikuwa wakitazama. Mwalimu hakuwepo. Je! Teknolojia itachukua nafasi ya walimu? Jambo ambalo liliwashangaza wengi ambao […]
Katoo akafungua macho yake na kushangaa kuona nyuki wengi ambao walikuwa wakubwa zaidi kuliko yeye. Hakuwahi kuona wala kusikia nyuki kama hawa. Lile tawi halingemsaidia kwa sababu nyuki walikuwa wakubwa zaidi.
Haki zote zimehifadhiwa © 2021 | porojo tupu takajua.com