Yule ni mnono anani tisha sana na atanikimbiza!

nyati mmoja

Wanyama wengi kutoka misitu mbalimbali walianza kumiminika katika mto wa maji mazuri kumaliza kiu ya maji na kusisitiza sharti kanuni za kudhibiti mienendo ya macho ifuatwe wasijipate na chui au mamba. ‘Yule ni mnono lakini anani tisha sana!’, chui akawaambia wenzake. ‘Mimi namtaka yule kwa vile haonekani mdhaifu.’, mwingine akaongeza. Baadaye walianza kugombana na kufukuzwa… Soma zaidi

BAISKELI mbuzi kashinda BASI ya ng’ombe

mbio mbuzi baiskeli

Hali ya anga ilibadilika. Ni wazi kwamba mbuzi alikuwa anapumua hewa safi, na uchafuzi wa mazingira ulikuwa umepungua haswa kwa sababu ya moshi kutoka basi ya ng’ombe. Hii ilimaanisha matokeo kadhaa yasiyotarajiwa kwa mazingira na mapafu ya mbuzi na ndege-haswa wale walio na pumu au shida zingine za kupumua. Mbuzi alikuwa mfano bora akiendesha baiskeli… Soma zaidi

Sindano ya kuongeza Afya

maua maridadi

‘Ni uchungu’, ng’ombe akasema akiwa anaeleza kuku vile mambo yalivyokuwa alipokuwa akindungwa sindano. ‘Sasa wanionaje? Nimeongeza kilo tano tangu nipimwe uzani mara ya mwisho’, ng’ombe akasema kwa furaha. ‘Wasema nini wee. Mimi nimejaza kushinda wote katika hii boma.’, Kuku akamwambia ng’ombe. Kuku alikuwa akitembea kwa madaha ili wengine wamtazame. ‘Umekutana na paka hivi karibuni?’ ,… Soma zaidi