Hallo Shika Simu

anasikia simu

Hallo,Ooh! Kiatu alisema kuwa masomo kidogo ya shule ilimtosha. Punda na mbuzi walimshauri  awache masomo mingi maana alikuwa mwanafunzi ovyo na alionyesha dalili za kutembea kila mahali. Kiatu anajua kuamua kuhusu masuala ya matembezi yake kwa sababu ndiye anayemiliki mguu. Mbona kujua Soleimani? Ndilo swali wengi waliuliza wakitaka kujua idadi ya walioenda shule. Hesabu ikarudiwa… Soma zaidi