maridadi safi

BABA ya MAMBA alikuwa na viatu

Juni 23, 2020 tekepunda 5

Amini usiamini Baba bora alikuwa na viatu. Si viatu vya kuonea dirishani bali viatu vya kuvaa na kuvuliwa. Imekuwaje sasa watoto wake wanatembea kwa miguu yote minne?