chui

Urafiki wa Chui waleta utata

Febuari 12, 2019 tekepunda 0

‘Sitakwenda MJINI TENA!’, Paka akafoka akibubujikwa na machozi. ‘Kwa nini Paka?’, Teke Punda akauliza. Hujamwona rafiki yangu chui?’, Paka akauliza Teke Punda. ‘Sijamwona kwa muda’, […]