Asifuye jua limemwangaza

‘BOLSONARO anataka kubaki na mkono mmoja tu.. wa kulia. Nadhani wakati analia aweze kujipanguza machozi.’, Rasto akajibu. ‘Duh! Hana haja na mkono huo mwingine. Kwani mkono wa kushoto ulimkosea vipi?’,Boflo akauliza. ‘Kwani nani huyu anayetaka kujikata mkono?’, Tekepunda akauliza. ‘Ni kiongozi wa aina fulani binadamu.’,Boflo akajibu. ‘Wawezaje kuukata mkono wako bila kufuja damu? Haiwezekani.’, Rasto… Soma zaidi