Mwenye shibe hamjui mwenye njaa

Tumbili alipandishwa kizimbani pamoja na Paka. Paka akiwa na majeraha madogo madogo kichwani kutokana na kichapo alichopata akiwa anatoroka¬† naye Tumbili alikuwa ameshika mkia wake. ‘Inasemekana kuwa mimi ndiye nilituma paka. Wewe ulinionea wapi?’, Tumbili akauliza Kunguru. ‘Mimi sikukuona lakini…’, Kunguru akakatizwa na Tumbili. ‘Kweli hukuniona. Sasa unasema nini na hapa tuko kotini?’ , Tumbili… Soma zaidi