mbuzi mataani

HAKI ya kuvuka barabara kapewa jamii ya mbuzi

Julai 14, 2020 tekepunda 2

Hata hivyo, sheria ya usalama barabarani imeonekana kukosa usawa hivyo kuwalazimu wanyama mbalimbali wakiwamo punda, paka na mbwa kugongwa na kupoteza mwelekeo wakiwa katika mstari wa mbele wakipigia kelele sheria ya uvukaji barabara

cheza ngoma

SHANGILIA jua kumekucha

Mei 4, 2020 tekepunda 11

‘ AAh , ningekuonyesha jamii yangu yote wakicheza ngoma kabla ya sisi kuanza safari. Usijali tunaweza kurudi kwa mti nikuitie ili uwaone wakicheza ngoma. Bila shaka utafurahi kweli kweli.’, sungura akaeleza mamba.