DARAJA ya jitu

miiguu

Palipo maji mazuri hapakosi samaki ndio kauli uliofanya jitu kuishi kwenye daraja. Wengi walitamani kunywa na kuogelea kwenye mto wa maji mazuri lakini walilazimika kutafuta kwingine. Jitu alikula waliokaribia mto wa maji mazuri.Wanyama walilazimika kuishi pande moja ya mto kwa sababu walihofia maisha yao. Isitoshe hakuna aliyedhubutu kutumia daraja. Mbuzi alipokuwa malishoni alipata kutupa macho… Soma zaidi