UKITAKA kilicho CHINI lazima uiname

densi ngoma

Kila mmoja wetu anacheza ngoma. Tupa macho yako hapo ulipo utaona wakicheza. Tega sikio utasikia ngoma. Uturuki ilikubali kusitisha mashambulio yake katika eneo ili kuzuia Wakurdi kurudi nyuma. Ngoma ya maisha inahusu utamaduni. Utamaduni ni kama mama yetu. Akiwa namna gani huwezi kumtoroka wala kusema hutaki awe mama. Mama akiwa mfupi, mrefu, mrembo au mwenye… Soma zaidi