Atekaye maji mtoni asimtukane mamba

‘Imedaiwa kuwa Urusi wakati wote imekuwa ikiingilia uchaguzi wa Marekani. Hiyo ni UONGO. Wanataka kuniangamiza. Sitakubali!’, akafoka Paka. Punda alikubali kwamba alifanya makosa. Mamba kamsamehe. Paka hakuona kosa lolote. Alikana na kusema kwamba hakuna yule ambaye alimwona akichora ramani ya mamba.