Nguruwe apandishwa cheo

Dili moto

‘Wenzangu nawaambieni sasa MAISHA ni MILELE!’, Tekepunda akawika akitingisa miguu yake kwa shangwe. ‘Wamaanisha nini punda?’, paka akauliza. ‘Sasa hivi kama ukona upungufu wa kiungo chochote mwilini utaweza kupata kutoka kwa nguruwe.’, punda akajibu kwa furaha. ‘Mimi, nipate kiungo kutoka kwa nguruwe?’, paka akarudisha. ‘ Sikiza, inasemekana kuwa nguruwe wana mafanikio katika upandikishaji wa viungo… Soma zaidi