UKWELI kuhusu haki za Binadamu

imba kama ndege

Ulikuwa usiku wa manane, mbuzi alikuwa amelala pamoja na kondoo wengine waliposikia kishindo. Kisha wakasikia king’ora ikilia pom pom pom!  Abu Bakr al-Baghdadi hayupo tena. Kwa kuwa fisi ndiye aliyekuwa akichunga mbuzi na kondoo alikimbia pembezoni ili aone tatizo lilikuwa nini. Baharini mbali kutoka ufuoni, fisi aliona meli kubwa iliyokuwa imetia nanga. Akaangalia kwa darubini,… Soma zaidi

HODARI sungura na gita ya stima

rockstar sungura

Mwanamuziki wa kizazi kipya maarufu kama ‘gita namba moja’ aliimba wimbo wake ‘uchungu tamu’ kwa ustadi mkubwa. Wimbo ‘uchungu tamu’ uliwatoa machozi wengi waliokuwa katika hio hafla. Baadaye akaita wenzake punda na mzee kobe jukwaani kucheza ngoma yake. Akiongea na wanahabari sungura alisema kuwa ‘Hiphop’ imetoa fursa nzuri kusema ya ulimwengu wa leo. Rais Magufuli… Soma zaidi