cheza ngoma

SHANGILIA jua kumekucha

Mei 4, 2020 tekepunda 11

‘ AAh , ningekuonyesha jamii yangu yote wakicheza ngoma kabla ya sisi kuanza safari. Usijali tunaweza kurudi kwa mti nikuitie ili uwaone wakicheza ngoma. Bila shaka utafurahi kweli kweli.’, sungura akaeleza mamba.

miiguu

DARAJA ya jitu

Septemba 3, 2019 tekepunda 8

Palipo maji mazuri hapakosi samaki ndio kauli uliofanya jitu kuishi kwenye daraja. Wengi walitamani kunywa na kuogelea kwenye mto wa maji mazuri lakini walilazimika kutafuta […]

Dili moto

Nguruwe apandishwa cheo

Januari 24, 2019 tekepunda 0

‘Wenzangu nawaambieni sasa MAISHA ni MILELE!’, Tekepunda akawika akitingisa miguu yake kwa shangwe. ‘Wamaanisha nini punda?’, paka akauliza. ‘Sasa hivi kama ukona upungufu wa kiungo […]