NDEGE walalamikia ukosefu wa miti ndani ya mji

ndege na mwavuli

Katika kikao kimoja jijini, ndege wote walitua katika jumba la kimataifa. Mbuni shingo mrefu akiongozwa na tausi mrembo, walimkataa kasuku magazeti kwa madai ya kushiriki na binadamu kutengeza viti na meza kwa mitindo tofauti tofauti ya kuandaa vyakula mezani. Walidai tabia ya kasuku kushindwa kutekeleza maagizo wanayoyatoa katika vikao, huenda ikawakosesha mahala pa kujenga viota… Soma zaidi

SARAKASI za panya zabadili tabianchi

panya na ndege ndani

“Sikujua cha kusema. Nilionekana kama mti uliopandwa. Na mara moja nikamjibu,” Unanichezea akili?” Naye akasema,” Hapana, nadhani unapaswa kuzingatia sheria mpya. ” nikatazama mwenzangu.… Sikujua cha kumwambia. Naye akaondoka. Haupaswi kutuambia ni njia ipi nitakayopitia . Nimepitia hii barabara tangu nizaliwe. Sijawahi kuwa na shida kama hii hapo awali. “ Maafisa wa eneo hilo wanamtafuta… Soma zaidi

Atekaye maji mtoni asimtukane mamba

‘Imedaiwa kuwa Urusi wakati wote imekuwa ikiingilia uchaguzi wa Marekani. Hiyo ni UONGO. Wanataka kuniangamiza. Sitakubali!’, akafoka Paka. Punda alikubali kwamba alifanya makosa. Mamba kamsamehe. Paka hakuona kosa lolote. Alikana na kusema kwamba hakuna yule ambaye alimwona akichora ramani ya mamba.