Akili nyingi ni… maarifa bado

Waziri alifika na kusema ,’Hii ndio matokeo ya mtihani wenu na kusema kweli wengi wamenguka’.Kiatu na Boflo walishangazwa na huo ujumbe. Hawakudhania kuwa Jim wa Mattis amejiuzulu. Haya maneno yalikuwa kama muziki kwa Rasto ambaye alikuwa anachana nywele. Tekepunda alikuwa akifuata Muorinho kwenye mtandao. Mashabiki wake waligawanyika wasijue la kufanya. Inasemekana kuwa risasi solskjaer ndiye… Soma zaidi