MAPINDUZI ngombe kutoroka kukamuliwa

ng'ombe hataki maziwa

Wakati ulipowadia alipiga teke ndoo ya maziwa na kutoka nje mbio. ‘Jamani, ng’ombe ametoroka.’ Alipohojiwa ng’ombe alisema, ‘Tumechoka kulishwa vinono na kukamuliwa bila idhini.’ Matendo ya Ng’ombe akiwa ametoroka, yalishangiliwa ndani ya boma na juu ya miti akitajwa kuwa mpiganaji mkubwa dhidi ya faida haramu na mfano wa kuigwa katika boma. Alihakikisha wanyama wanakula nyasi… Soma zaidi