Tunda jema halikawii mtini

tunda jema

‘Hii ni Kizungumkuti,  Rastopaka anashughuli gani na mende? ’, tekepunda akauliza. Tekepunda na Boflo panya walikuwa jikoni. Walikuwa wakiosha vyombo baada ya kula. ‘Mende hakuna hapa jikoni. Wamehama?’, Tekepunda akauliza. ‘Huna habari? Paka amekuwa akifanya biashara ya mende.’, Boflo akaeleza. ‘Biashara na mende? Sielewi ,kwani Paka kabadilisha DIET?’, tekepunda akauliza kwa mshangao. ‘Binadamu ndo amebadilisha… Soma zaidi