Punda wawili

Kulikuwa na punda wawili , mmoja mnene na mwingine mwembamba kiasi. Wote walikuwa wakila nyasi katika eneo mmoja. Yule mnene alipoishiwa na nyasi akaenda kunyemelea kwa mwenzake na kuzua rabsha. Punda mwembamba alisema yeye ni kwanza hapo na hajala cha kutosha. Punda mnene alikataa kusikia na kumfukuza kwa nguvu akitumia mateke. Punda mwembamba alianza kupiga… Soma zaidi