WAPIGA picha waburudishwa na sarakasi za sokwe

sokwe wapigwa picha

“Huna aibu? meno hamna mdomoni ,usidhubutu kucheka hapa.” “Weka mkono vizuri unaziba sura yangu.” “Rudi nyuma, kichwa chako kikubwa kinazuia mwonekano mzuri.” “Unasema nini wewe? funga mdomo wako.” “Sipumui .Unanifinya.” Mkubwa wa sokwe alikuwa na kibarua kigumu kwani baadhi ya sokwe wenzake na hasa katika jamii yake walianza kurukruka na kusukumana. Timu ya taifa ya… Soma zaidi

SASA Sungura anatazama chakula katika mtandao

tumbili mtandaoni

‘Kutumia mtandao inamaanisha kuwa naweza kupata chakula changu bila kutoka kwa nyumba, badala ya kuzurura zurura nikitafuta chakula sasa nachagua chakula mtandaoni, “akasema kaka sungura, ambaye anasoma mtandaoni kwa MSc katika masomo ya habari na maktaba katika Chuo Kikuu cha mbweha na twiga. Hakuna haja ya kutafuta chakula asema kaka sungura Wakati wa shida, kaka sungura na wenzake wa… Soma zaidi