kifaru na ndege

HASEMI hacheki ananiangalia tu

Agosti 27, 2019 tekepunda 9

Sungura alijihisi kama mshukiwa na kumweleza mwenzake mzee Kobe, ‘Yule kifaru ananitazama sana.’ ‘Wasiwasi ya nini sungura?’, Kobe akarudisha. ‘Hasemi lile analolitaka. Hacheki na hakuna […]