ndege na bawa lake

JUU ya mti kuna ndege

Septemba 24, 2019 tekepunda 6

Hivi karibuni visa kadha vimetokea vinavyopaswa kuwafanya walio misituni kutafakari maisha bila miti. Ndege walikutana na tumbili ili kujadiliana juu ya kukabiliana na mabadiliko ya […]

Hapo Zamani za Kale

Mei 28, 2019 tekepunda 14

Fisi na mbuzi si marafiki tena.  Majaribio ya makombora yake yalianza tena pindi tu mbuzi aliposimamisha gari lake barabarani. Fisi ambao walikuwa wamemzingira walitaka kumshambulia […]