UTAMU wa kula asali

fuata nyuki

Katoo akafungua macho yake na kushangaa kuona nyuki wengi ambao walikuwa wakubwa zaidi kuliko yeye. Hakuwahi kuona wala kusikia nyuki kama hawa. Lile tawi halingemsaidia kwa sababu nyuki walikuwa wakubwa zaidi.