REKODI Kuvunjwa

tumbili wawili

Tumbili alikuwa amejaa furaha na tabasamu kubwa usoni. ‘Kwa kweli sikuyatarajia matokeo haya kabisa, sikutarajia kupata nafasi hapa, hili kwangu naona kama miujiza’ alisema tumbili akiwa amelala tumbo juu. Akizungumza na wanahabari alisema matarajio yake ni kupata kuvuka mto ili aweze kula ndizi. Wakiwa katika ofisi ya mzee kobe kila mmoja alionekana kumpongeza kwa ushindi… Soma zaidi