andika kikombe

Mapenzi ya SIMBA

Machi 12, 2019 tekepunda 0

Alikuwa mpenzi wake au kitoweo chake? Hili ndilo swali teke punda alilokuwa akijiuliza kufuatia kifo cha simba kwa kupigwa risasi na binadamu polisi. Babake binadamu […]

chui

Urafiki wa Chui waleta utata

Febuari 12, 2019 tekepunda 0

‘Sitakwenda MJINI TENA!’, Paka akafoka akibubujikwa na machozi. ‘Kwa nini Paka?’, Teke Punda akauliza. Hujamwona rafiki yangu chui?’, Paka akauliza Teke Punda. ‘Sijamwona kwa muda’, […]