DIRISHA ya paka yabishwa hodi na samaki

samaki dirishani

‘Maji inapanda.’, panya akasema akitoka mafichoni. ‘Itakuwaje, maji na miguu kupanda mlima?’, paka akajibu akiwa amelala. ‘Amka paka rafiki yangu utusaidie.’, panya wa boflo akamsihi paka. Paka alifungua macho yake na mbele yake aliona panya watatu. wakimtazama. Asijue la kufanya aliamka na kujiuliza kama ni ndoto. ‘Sasa sio wakati wa kujiuliza maswali magumu tazama nje… Soma zaidi

Idadi ya wageni kuongezeka mafuta ikimwagika

tembo ndege maji

Samaki walijikuta katika hofu baada ya mafuta kutumbukia majini binadamu akifukuzana na faida bila kujali kwa kutumia meli na kelele za mtandao. Tukio hilo liliwashtua sana papa na nyangumi waliokuwa katika ufuo wabahari kwa sababu wengi wao walikuwa hawajui kinachoendelea kutokana na samaki wadogo wadogo waliokuwa wakikimbia kwa kasi. Kumekuwa na mabadiliko makubwa baada ya… Soma zaidi

TAKATAKA ndani ya samaki

takataka na samaki

Samaki wamelalamika kwamba tangu walipoanza kuishi baharini meli na maboti zimekuwa zikitupa takataka na uchafu wa kila aina baharini. Hali ambayo imefanya maisha yao kuwa magumu. Maandamano makubwa yamefanyika baharini mbele ya makao makuu ya nyangumi kumshinikiza atimize ahadi yake ya kampeni ya kuimarisha hali yao ya maisha chini ya maji. Haya ni kufuatia kuuawa… Soma zaidi