HANA ujuzi wa kutosha

Disemba 10, 2019 tekepunda 9

Simba alikuwa amelewa. Lakini hakuna aliyetaka kuamini kwamba mwana wa mfalme, Andrew anaweza kufanya hivyo. Wengine walisema ni njaa ilimpeleka kutafuta chakula na malazi. Hata […]

Kondoo nani?

Ajabu Kondoo kucheka Kioo

Juni 4, 2019 tekepunda 24

Tangu apewe kioo, Kondoo haja pata kufanya jambo lingine ila tu kucheka. Asubuhi hata kabla ya jogoo kuwika aliamka kwa kicheko. Mchana kutwa alishinda akicheka […]

mti na matunda

Ni Kipigo cha Mbwa Koko?

Aprili 9, 2019 tekepunda 15

‘Jangili au binadamu, nani kaja mbele ya mwingine?’ ,tekepunda akauliza ‘Nafikiri jangili ndiye aliyetangulia.’ , Boflo akajibu. ‘Halafu binadamu kafuata baadaye.’ Rasto akaongezea. ‘Kwanza kifaru […]

andika kikombe

Mapenzi ya SIMBA

Machi 12, 2019 tekepunda 0

Alikuwa mpenzi wake au kitoweo chake? Hili ndilo swali teke punda alilokuwa akijiuliza kufuatia kifo cha simba kwa kupigwa risasi na binadamu polisi. Babake binadamu […]