MBWEHA ana maneno mazuri kwa kuku

Mei 12, 2020 tekepunda 20

“Ni mimi! Ndio, mimi ninayesiaga ndovu kama mchanga na kula mamba majini kama kitoweo cha asubuhi!” Aliposikia haya maneno mbweha aliwaza, “Nani anaweza kufanya mambo haya?” na akatoroka mahali pale haraka.