Paka mjanja anakula kila kitu

paka na daktari mbwa

Ilikuwa moja ya kesi hizo ambazo zinaonekana kuwa zaidi ya nguvu ya hata waganga waliosoma zaidi…wale wenye busara walimpelekea kila jani kutoka kwa misitu mbalimbali hata kutoka ofisi kuu la Tiba la Misitu, kujaribu bila mafanikio kupata njia ya kumtibu paka huyu ambaye hakuwa na furaha.

Fikiria masilahi ya Tumbo

barabarani

Hali ya tumbo imekuwa kizungumkuti. Hata waandamanaji nchini Sudan wameapa kutoondoka mitaani. Kwa sababu gani? Tumbo. Waandamanaji wanajua wasipo shughulikia swala la tumbo siku za usoni wataumia zaidi. Wahenga walisema heri nusu shari kuliko shari kamili. Si uvimbe wa tumbo utakaodhihirisha shibe. Kwani inaweza kuwa ni pumzi tupu imejaza tumbo. Jambo ambalo linaweza kusababisha uchafuzi… Soma zaidi