AAPISHWA mbuzi baada ya punda kutoweka

mbuzi na mzigo

Rafiki punda alipokosa kuonekana juma moja wenzake walifikiri kuwa ameona malisho bora zaidi. Baadaye walipata habari kuwa kuna mnyama amepatikana bila vazi alilozaliwa nayo. Walishangaa walipotambua rafiki punda bila ngozi yake asili. Punda ambaye hapo awali alikuwa wa kubebea mizigo kabla ya kubadili matumizi yake inasemekana kuwa ngozi yake imekuwa dawa ya mapenzi. Hii ilikuwa… Soma zaidi

Mababu watatu kutwaa taji la kiatu Bora

mikono juu

Mashambulizi ya ma-hashtags, tweets na re-tweets yalifanywa ndani ya mtandao wa twitter na kundi la waKenya wanaojulikana kama KOT. Usafiri pia ulisitishwa mjini Dar baada ya mvua kubwa kuanguka mjini huo. Hii ni baada ya ndege kutua bila miguu kwa mabavu na kuzua wasiwasi miongoni mwa abiria. Baada ya kupumzika mchezaji wa kiungo cha mbele… Soma zaidi

Akili nyingi ni… maarifa bado

Waziri alifika na kusema ,’Hii ndio matokeo ya mtihani wenu na kusema kweli wengi wamenguka’.Kiatu na Boflo walishangazwa na huo ujumbe. Hawakudhania kuwa Jim wa Mattis amejiuzulu. Haya maneno yalikuwa kama muziki kwa Rasto ambaye alikuwa anachana nywele. Tekepunda alikuwa akifuata Muorinho kwenye mtandao. Mashabiki wake waligawanyika wasijue la kufanya. Inasemekana kuwa risasi solskjaer ndiye… Soma zaidi