NYOTA mpira na kikapu

ndio haoo

Ugonjwa wa ufisadi ni wa kwanza katika mauaji ulimwenguni asema Bwana Daktari. Akizungumza na wanahabari siku moja, Bwana daktari alisema ugonjwa huo ni miongoni mwa magonjwa mbaya yanayopotezea wengi maisha yao na kuna haja ya kuhakikisha kila mmoja amepata kiboko dhidi ya ugonjwa huo ilikusitisha usambazaji. Virusi vya Corona vinasambaa. Mara nyingi dalili za ugonjwa… Soma zaidi

KIATU chini ya Kabati

mbio ya basikeli

Tazama macho yao! Watu hawa uwaonao wote ni wavuta moshi. Hiyo moshi huwapa watu nguvu za kufanya kazi bila kujali wengine. Huwafanya watu wale ugali moto kwa fujo sana. Hii moshi ni hatari kuliko uji moto kwa sababu hulewesha. Walevi wa moshi kama wanariadha wa kuruka hawana hata dalili ya akili. Kule kwetu kuna vinywaji… Soma zaidi