KIATU chini ya Kabati

mbio ya basikeli

Tazama macho yao! Watu hawa uwaonao wote ni wavuta moshi. Hiyo moshi huwapa watu nguvu za kufanya kazi bila kujali wengine. Huwafanya watu wale ugali moto kwa fujo sana. Hii moshi ni hatari kuliko uji moto kwa sababu hulewesha. Walevi wa moshi kama wanariadha wa kuruka hawana hata dalili ya akili. Kule kwetu kuna vinywaji… Soma zaidi