Deni ya Galaxy Fold

kapewa kiti

Urithi wa mamilioni ya dola na dadake Paka anayeishi Marekani umewafanya wanyama wafikirie kwa kina kuhusu uhusiano wao na Binadamu. Dadake Paka ambaye anatambulika kwa majina Choupette alikuwa rafiki mpenzi wa binadamu Karl Lagerfeld tajiri mchoraji wa mavazi. Hapo awali Karl alipoulizwa hatima ya paka wake mpenzi alijibu kuwa Choupette ataendelea kuishi kama kawaida na… Soma zaidi