ngoma sukuti densi

MWANZO wa ngoma

Disemba 17, 2019 tekepunda 8

Katika kijiji chetu mende mdogo aliishi katika nyumba ya namba tatu ndani ya kabati. Mdudu huyo alikuwa mwenye ujuzi sana na mjanja. Mende wengine walimpenda […]

tumbili wawili

REKODI Kuvunjwa

Oktoba 8, 2019 tekepunda 8

Tumbili alikuwa amejaa furaha na tabasamu kubwa usoni. ‘Kwa kweli sikuyatarajia matokeo haya kabisa, sikutarajia kupata nafasi hapa, hili kwangu naona kama miujiza’ alisema tumbili […]