SAMAKI na vyura kuota jua baada ya maji kupotea ziwani

flamingo jua samaki

Kwa niaba ya wenzake, ndege kichwa kubwa akasema, ” Inasikitisha kuona mamba na viboko wakiwa matopeni wakifanyiwa vitendo vya kustajaabisha. Tuombe hali ya anga ibadilike ili itatue suala hili ili haki iweze kutendeka ikiwamo ya kujaza ziwa na kuongeza samaki ndani ya maji.” “Nimelishudia maji kupotea hapa kwa hio siwezi kuzungumza chochote kwa sababu sina… Soma zaidi