Mwenye shibe hamjui mwenye njaa

Oktoba 17, 2018 tekepunda 0

Tumbili alipandishwa kizimbani pamoja na Paka. Paka akiwa na majeraha madogo madogo kichwani kutokana na kichapo alichopata akiwa anatoroka¬† naye Tumbili alikuwa ameshika mkia wake. […]