Atekaye maji mtoni asimtukane mamba

‘Imedaiwa kuwa Urusi wakati wote imekuwa ikiingilia uchaguzi wa Marekani. Hiyo ni UONGO. Wanataka kuniangamiza. Sitakubali!’, akafoka Paka.

Punda alikubali kwamba alifanya makosa. Mamba kamsamehe. Paka hakuona kosa lolote. Alikana na kusema kwamba hakuna yule ambaye alimwona akichora ramani ya mamba.

Ramani ya mamba ilikuwa imeharibiwa na wasiojulikana. Baada ya vitisho kutoka kwa mamba. Punda akajisalimisha.

‘Hata hivyo ni kidole tu kimeharibu ramani, jameni!’, Paka akasema.

‘Wewe wajiona mjanja sana eh? Usidhubutu kuja kwangu.’ Mamba akamwambia Paka.

‘Ukweli ni kwamba sikuonekana. Maneno mengine ni porojo.’ Paka akaendelea.

‘Usije kwangu kuniomba maji.’ Punda akamwambia Paka.

‘Mimi hutaniona.’ Paka akamjibu.