maua maridadi

Sindano ya kuongeza Afya

Julai 23, 2019 tekepunda 9

‘Ni uchungu’, ng’ombe akasema akiwa anaeleza kuku vile mambo yalivyokuwa alipokuwa akindungwa sindano. ‘Sasa wanionaje? Nimeongeza kilo tano tangu nipimwe uzani mara ya mwisho’, ng’ombe […]

uji moto

Uji moto ni silaha hatari

Julai 16, 2019 tekepunda 15

Katika kongamano la kipekee lililofanyika hapa mjini wanasayansi kutoka mataifa mbalimbali walikutana kujadiliana kuhusu matumizi ya uji moto katika maisha ya watu. Kulingana na wanasayansi […]