kifaru na ndege

HASEMI hacheki ananiangalia tu

Agosti 27, 2019 tekepunda 9

Sungura alijihisi kama mshukiwa na kumweleza mwenzake mzee Kobe, ‘Yule kifaru ananitazama sana.’ ‘Wasiwasi ya nini sungura?’, Kobe akarudisha. ‘Hasemi lile analolitaka. Hacheki na hakuna […]

MJI wa Mamba na Viboko

Agosti 20, 2019 tekepunda 6

Haiwezekani Kiboko kutaga mayai na mamba pia hawezi kubeba mimba kama Kiboko. Ingawaje damu ya mamba ni baridi na damu ya kiboko ni joto, wanyama […]

bet mpira

JINAMIZI la Mchezo wa Kamare

Agosti 13, 2019 tekepunda 8

Hatimaye, kampuni ya Jaribu bahati yako, imemtangaza tumbili kuwa mshindi wa jackpot ya mega na maji milele daima. Tumbili ametangazwa mshindi baada ya kujaribu bahati […]